Bunge la Tanzania
Jamhuri ya Muungano ya Tanzania
| Term | Session | Sitting | Sector | Ministry | Qn No | Date |
|---|---|---|---|---|---|---|
| 2020-2025 | Session 19 | Sitting 26 | Health and Social Welfare | Wizara ya Afya | 337 | 2025-05-16 |
Name
Ali Juma Mohamed
Sex
Male
Party
CCM
Constituent
Shaurimoyo
Primary Question
MHE. ALI JUMA MOHAMED aliuliza: -
Je, kwa nini michango ya Bima ya Afya isiwe sawa na utaratibu wa michango ya pensheni kati ya mwajiri na mtumishi?
Name
Dr. Godwin Oloyce Mollel
Sex
Male
Party
CCM
Constituent
Siha
Answer
NAIBU WAZIRI WA AFYA alijibu: -
Mheshimiwa Spika, kwa mujibu wa kifungu cha Sheria ya Bima ya Afya, Sura 395, mwajiri huchangia asilimia tatu na mwajiriwa asilimia tatu ya kiwango cha mshahara ili kukidhi hitaji la mnufaika kupata huduma za afya katika vituo vilivyosajiliwa na mfuko. Michango ya Bima ya Afya inatofautishwa na michango ya pensheni kwa kuwa michango ya pensheni inahusisha malipo ya uzeeni na kiunua mgongo.
Mheshimiwa Spika, naomba kuwasilisha.
Copyright © Bunge Polis 2026. All Rights Reserved