Jamhuri ya Muungano ya Tanzania

Primary Question

Term Session Sitting Sector Ministry Qn No Date
2020-2025 Session 19 Sitting 26 Health and Social Welfare Wizara ya Afya 336 2025-05-16

Name

George Ranwell Mwenisongole

Sex

Male

Party

CCM

Constituent

Mbozi

Primary Question

MHE. GEORGE R. MWENISONGOLE aliuliza:-

Je, Sera ya Taifa ya Afya ya mwaka 2007 inayosema akina mama wajawazito watajifungua bure bila malipo bado ipo?

Name

Dr. Godwin Oloyce Mollel

Sex

Male

Party

CCM

Constituent

Siha

Answer

NAIBU WAZIRI WA AFYA alijibu:-

Mheshimiwa Spika, Sera ya Taifa ya Afya ya mwaka 2007 ipo na inatumika kutoa miongozo katika uendeshaji wa utoaji wa huduma za afya nchini. Hata hivyo, Wizara ipo katika hatua za mwisho za mapitio ya Sera ya Afya ya mwaka 2007. Hata hivyo, kuanza kutumika kwa Bima ya Afya kwa Wote itakuwa suluhisho la kudumu.

Mheshimiwa Spika, naomba kuwasilisha.