Bunge la Tanzania
Jamhuri ya Muungano ya Tanzania
| Term | Session | Sitting | Sector | Ministry | Qn No | Date |
|---|---|---|---|---|---|---|
| 2025-2030 | Session 2 | Sitting 6 | Works and Transport | Wizara ya Ujenzi | 101 | 2026-02-03 |
Name
Daniel Awack Tlemai
Sex
Male
Party
CCM
Constituent
Karatu
Primary Question
MHE. DKT. EMANUEL Q. NUWAS K.n.y. MHE. DANIEL A. TLEMAI aliuliza:-
Je, lini Serikali itajenga barabara ya Karatu – Mbulu – Haydom – Lalago kwa kiwango cha lami?
Name
Eng. Godfrey Msongwe Kasekenya
Sex
Male
Party
CCM
Constituent
Ileje
Answer
NAIBU WAZIRI WA UJENZI alijibu: -
Mheshimiwa Mwenyekiti, Serikali itajenga barabara ya Karatu – Mbulu – Haydom – Lalago kwa kiwango cha lami kwa awamu. Hadi sasa, taratibu za manunuzi ya mkandarasi wa ujenzi wa sehemu ya Nkoma – Lalago, kilometa 65 zimekamilika.
Mheshimiwa Mwenyekiti, aidha, kwa sehemu ya Mbulu – Garbabi, kilometa 25, kazi za ujenzi zinaendelea na zimefikia 41% na kwa sehemu ya Labay – Haydom, kilometa 25 kazi za ujenzi zimefikia 11%. (Makofi)
Copyright © Bunge Polis 2026. All Rights Reserved