Bunge la Tanzania
Jamhuri ya Muungano ya Tanzania
| Term | Session | Sitting | Sector | Ministry | Qn No | Date |
|---|---|---|---|---|---|---|
| 2025-2030 | Session 2 | Sitting 2 | Works and Transport | Wizara ya Ujenzi | 27 | 2026-01-28 |
Name
Rashid Abdallah Shangazi
Sex
Male
Party
CCM
Constituent
Mlalo
Primary Question
MHE. RASHID A. SHANGAZI aliuliza:-
Je, lini Serikali itaanza ujenzi wa barabara ya Mombo – Soni – Lushoto km 36 kama ilivyoahidi?
Name
Eng. Godfrey Msongwe Kasekenya
Sex
Male
Party
CCM
Constituent
Ileje
Answer
NAIBU WAZIRI WA UJENZI alijibu:-
Mheshimiwa Spika, Serikali imekamilisha kazi ya upembuzi yakinifu na usanifu wa kina kwa ajili ya ukarabati kwa kiwango cha lami wa barabara ya Mombo hadi Lushoto yenye urefu wa kilometa 36. Serikali inaendelea kutafuta fedha kwa ajili ya ukarabati wa barabara hiyo, ahsante.
Copyright © Bunge Polis 2026. All Rights Reserved