Bunge la Tanzania
Jamhuri ya Muungano ya Tanzania
| Term | Session | Sitting | Sector | Ministry | Qn No | Date |
|---|---|---|---|---|---|---|
| 2020-2025 | Session 19 | Sitting 53 | Health and Social Welfare | Wizara ya Afya | 689 | 2025-06-25 |
Name
Grace Victor Tendega
Sex
Female
Party
CHADEMA
Constituent
Special Seats
Primary Question
MHE. FELISTA D. NJAU K.n.y. MHE. GRACE V. TENDEGA aliuliza:-
Je, nini mkakati wa Serikali kuhakikisha Wazee wanapata huduma za afya bila kikwazo?
Name
Dr. Godwin Oloyce Mollel
Sex
Male
Party
CCM
Constituent
Siha
Answer
NAIBU WAZIRI WA AFYA alijibu: -
Mheshimiwa Mwenyekiti, Serikali imekamilisha Sheria ya Bima ya Afya kwa Wote, ambapo mara utekelezaji wake utakapoanza, utakuwa suluhisho katika kuwezesha makundi yote wakiwemo wazee kupata huduma pasipo kikwazo cha gharama.
Mheshimiwa Mwenyekiti, naomba kuwasilisha. (Makofi)
Copyright © Bunge Polis 2026. All Rights Reserved