Bunge la Tanzania
Jamhuri ya Muungano ya Tanzania
| Term | Session | Sitting | Sector | Ministry | Qn No | Date |
|---|---|---|---|---|---|---|
| 2020-2025 | Session 19 | Sitting 53 | Works, Transport and Communication | Wizara ya Ujenzi | 682 | 2025-06-25 |
Name
Josephine Johnson Genzabuke
Sex
Female
Party
CCM
Constituent
Special Seats
Primary Question
MHE. JOSEPHINE J. GENZABUKE aliuliza: -
Je, lini Serikali itajenga Barabara ya kutoka Kasulu hadi Uvinza kwa kiwango cha lami?
Name
Eng. Godfrey Msongwe Kasekenya
Sex
Male
Party
CCM
Constituent
Ileje
Answer
NAIBU WAZIRI WA UJENZI alijibu: -
Mheshimiwa Mwenyekiti, Serikali imekamilisha ujenzi wa sehemu ya Kasulu – Kanyani, kilometa 10. Aidha, upembuzi yakinifu na usanifu wa kina wa Sehemu ya Kanyani hadi Uvinza Kibaoni, kilometa 60 umekamilika. Kwa sasa Serikali inaendelea kutafuta fedha kwa ajili ya kuanza ujenzi, ahsante.
Copyright © Bunge Polis 2026. All Rights Reserved