Bunge la Tanzania
Jamhuri ya Muungano ya Tanzania
| Term | Session | Sitting | Sector | Ministry | Qn No | Date |
|---|---|---|---|---|---|---|
| 2020-2025 | Session 19 | Sitting 49 | Home Affairs | Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi | 632 | 2025-06-19 |
Name
Eng. Stella Martin Manyanya
Sex
Female
Party
CCM
Constituent
Nyasa
Primary Question
MHE. JONAS W. MBUNDA K.n.y. MHE. ENG. STELLA M. MANYANYA aliuliza:-
Je, lini Jeshi la Zimamoto na Uokoaji litakuwa na Ofisi ya kuendesha shughuli zake katika Wilaya ya Nyasa?
Name
Innocent Lugha Bashungwa
Sex
Male
Party
CCM
Constituent
Karagwe
Answer
NAIBU WAZIRI WA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI K.n.y. WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI alijibu: -
Mheshimiwa Naibu Spika, Serikali inaendelea na jitihada za kusogeza huduma za zimamoto na uokoaji karibu na wananchi kwa kujenga vituo vya zimamoto na uokoaji. Katika mwaka 2025/2026, Serikali kupitia Jeshi la Zimamoto na Uokoaji imetenga kiasi cha fedha shilingi bilioni 6.4 kwa ajili ya ujenzi wa Vituo cha Zimamoto na Uokoaji katika Wilaya mbalimbali.
Mheshimiwa Naibu Spika, aidha, Serikali itaendelea kutenga fedha kwa ajili ya utekelezaji wa mpango wa ujenzi wa vituo vya zimamoto na uokoaji katika Wilaya zote nchini ikiwemo Wilaya ya Nyasa.
Copyright © Bunge Polis 2026. All Rights Reserved