Jamhuri ya Muungano ya Tanzania

Primary Question

Term Session Sitting Sector Ministry Qn No Date
2020-2025 Session 19 Sitting 29 Health and Social Welfare Wizara ya Afya 376 2025-05-21

Name

Husna Juma Sekiboko

Sex

Female

Party

CCM

Constituent

Special Seats

Primary Question

MHE. RASHID A. SHANGAZI K.n.y. MHE. HUSNA J. SEKIBOKO aliuliza: -

Je, kipi chanzo mahsusi cha fedha za kugharamia huduma ya afya kwa mama mjamzito na mtoto chini ya miaka mitano?

Name

Dr. Godwin Oloyce Mollel

Sex

Male

Party

CCM

Constituent

Siha

Answer

NAIBU WAZIRI WA AFYA alijibu: -

Mheshimiwa Naibu Spika, kwa sasa vyanzo mahsusi vya ugharamiaji wa huduma za Afya kwa akina mama wajamzito na watoto wenye umri chini ya miaka mitano ni kupitia fedha za ndani pamoja na wadau wa maendeleo wanaochangia Bajeti ya Serikali.

Mheshimiwa Spika, naomba kuwasilisha.