Jamhuri ya Muungano ya Tanzania

Primary Question

Term Session Sitting Sector Ministry Qn No Date
2020-2025 Session 19 Sitting 29 Works and Transport Wizara ya Ujenzi 372 2025-05-21

Name

Cecilia Daniel Paresso

Sex

Female

Party

CHADEMA

Constituent

Special Seats

Primary Question

MHE. CECILIA D. PARESSO aliuliza: -

Je, lini Serikali italipa fidia na riba kwa wananchi wa Manyara Kibaoni Wilayani Karatu waliopisha upanuzi wa Uwanja wa Ndege Manyara?

Name

Eng. Godfrey Msongwe Kasekenya

Sex

Male

Party

CCM

Constituent

Ileje

Answer

NAIBU WAZIRI WA UJENZI alijibu: -

Mheshimiwa Naibu Spika, Serikali bado inaendelea kutafuta fedha kwa ajili ya kulipa riba ya fidia kwa wakazi waliopisha upanuzi wa Kiwanja cha Ndege cha Lake Manyara. Mara baada ya kupatikana fedha hizo, malipo ya riba kwa wananchi waliopisha upanuzi wa mradi huo yatafanyika. Ahsante.