Jamhuri ya Muungano ya Tanzania

Primary Question

Term Session Sitting Sector Ministry Qn No Date
2020-2025 Session 19 Sitting 46 Lands, Housing and Human Settlement Development Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi 597 2025-06-16

Name

Sophia Hebron Mwakagenda

Sex

Female

Party

CHADEMA

Constituent

Special Seats

Primary Question

MHE. CECILIA D. PARESSO K.n.y. MHE. SOPHIA H. MWAKAGENDA aliuliza: -

Je, lini Serikali itamwomba Mwekezaji wa Chai Rungwe kuachia ardhi ambayo haitumii kwa wananchi?

Name

Geophrey Mizengo Pinda

Sex

Male

Party

CCM

Constituent

Kavuu

Answer

NAIBU WAZIRI WA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI alijibu: -

Mheshimiwa Spika, Shamba la Chai Rungwe lipo Kata ya Ilima na Bujela na linamilikiwa na Kampuni ya Mohamed Enterprises. Kwa kuwa shamba hili linamilikiwa kisheria na mwekezaji ambaye tayari ameliendeleza kwa kulima zao la chai, na kwa kuzingatia umuhimu wa sekta ya kilimo hususan uhitaji wa uwekezaji katika zao la chai, Serikali itahakikisha shamba hili linatumika ipasavyo.