Jamhuri ya Muungano ya Tanzania

Primary Question

Term Session Sitting Sector Ministry Qn No Date
2020-2025 Session 19 Sitting 42 Works and Transport Wizara ya Ujenzi 545 2025-06-09

Name

Hussein Nassor Amar

Sex

Male

Party

CCM

Constituent

Nyang'hwale

Primary Question

MHE. HUSSEIN M. AMAR aliuliza: -

Je, lini Mshauri Elekezi atatangazwa kuanza kazi ya Upembuzi Yakinifu barabara ya Kahama – Kharumwa – Nyang’hwale hadi Busisi ambayo ni ahadi ya muda mrefu?

Name

Eng. Godfrey Msongwe Kasekenya

Sex

Male

Party

CCM

Constituent

Ileje

Answer

NAIBU WAZIRI WA UJENZI alijibu: -

Mheshimiwa Mwenyekiti, Serikali tayari imempata Mhandisi Mshauri wa kufanya kazi ya upembuzi yakinifu na usanifu wa kina kwa ajili ya kuijenga barabara ya Kahama – Kharumwa – Nyang’hwale hadi Busisi kwa kiwango cha lami. Taratibu za kusaini mkataba wa kazi ya upembuzi yakinifu na usanifu wa kina zinaendelea, ahsante.