Jamhuri ya Muungano ya Tanzania

Supplementary Questions

Name

Aisha Msantu Mduyah

Sex

Female

Party

CCM

Constituent

Special Seats

Primary Question

MHE. AISHA M. MDUYAH aliuliza:- Je, lini Serikali itaridhia na kuanza utekelezaji wa Itifaki ya Afrika kuhusu Haki za Watu Wenye Ulemavu (African Disability Protocol)?

Supplementary Question 1

MHE. AISHA M. MDUYAH: Mheshimiwa Mwenyekiti, ahsante na sina swali la nyongeza, lakini naiomba tu Serikali iharakishe mchakato huu kwa maslahi mapana ya watu wenye ulemavu. (Makofi)

Name

Ummy Hamisi Nderiananga

Sex

Female

Party

CCM

Constituent

Special Seats

Answer

NAIBU WAZIRI, OFISI YA WAZIRI MKUU, SERA, BUNGE, URATIBU NA WENYE ULEMAVU (MHE. UMMY H. NDERIANANGA): Mheshimiwa Mwenyekiti, ahsante, naomba niendelee kumpongeza Mheshimiwa Aisha kwa kazi kubwa na nzuri anayoifanya. Namhakikishia tumepokea ushauri na tutaendelea kuufanyia kazi kwa haraka, ahsante sana. (Makofi)