Bunge la Tanzania
Jamhuri ya Muungano ya Tanzania
| Term | Session | Sitting | Sector | Ministry | Qn No | Date |
|---|---|---|---|---|---|---|
| 2020-2025 | Session 19 | Sitting 5 | Livestock , Fisheries, Agriculture, Food Security and Cooperatives | Wizara ya Kilimo | 68 | 2025-04-14 |
Name
Ndaisaba George Ruhoro
Sex
Male
Party
CCM
Constituent
Ngara
Primary Question
MHE. INNOCENT S. BILAKWATE K.n.y. MHE. NDAISABA G. RUHORO aliuliza:-
Je, ni lini Serikali itaanza kununua mahindi ya wananchi wa Jimbo la Ngara kupitia NFRA?
Name
David Ernest Silinde
Sex
Male
Party
CCM
Constituent
Tunduma
Answer
NAIBU WAZIRI WA KILIMO alijibu:-
Mheshimiwa Spika, zoezi la ununuzi wa mahindi ikiwemo Jimbo la Ngara linatarajia kuanza mwezi Mei, 2025. Wakulima wanasisitizwa kuzingatia usafi wa mahindi na kukausha mahindi yao hadi kufikia kiwango cha unyevu wa 13.5% ili kuepuka usumbufu unaoweza kujitokeza endapo mahindi yao hayatakidhi ubora unaohitajika.
Copyright © Bunge Polis 2025. All Rights Reserved