Bunge la Tanzania
Jamhuri ya Muungano ya Tanzania
Sex
Male
Party
CCM
Constituent
Ludewa
Contributions
nil
Answers
nil
Commettees
0
Ministries
nil
MHE. JOSEPH Z. KAMONGA: Mheshimiwa Spika, naipongeza sana Serikali kwa kuweka askari wa JWTZ Manda, Ludewa. Kule ilikuwa ni mapito ya wageni wengi ambao nia zao zilikuwa hazijulikani. Askari wale wanafanya kazi kubwa na nzuri sana ya kulinda mpaka ule, hivyo naomba wapewe gari, boti kubwa na la kasi na watafutiwe eneo kubwa maeneo ya Lutala ili kianzishwe kikosi kamili cha jeshi Ludewa.