Bunge la Tanzania
Jamhuri ya Muungano ya Tanzania
Sex
Male
Party
CCM
Constituent
Ludewa
Contributions
nil
Answers
nil
Commettees
0
Ministries
nil
MHE. JOSEPH Z. KAMONGA: Mheshimiwa Mwenyekiti, vituo vya meli Ziwa Nyasa upande wa Ludewa tunaomba vibanda vya kupumzika abiria na vyoo. MV Songea ikarabatiwe ili ikahudumie wananchi Ziwa Nyasa, MV Mbeya iongeze safari Ziwa Nyasa walau kila wiki ili kuwaepushia wananchi hatari za kusafiri kwa mitumbwi na maboti ambayo mengine hayajahakikiwa ubora wake. Na pia Bandari ya Manda wananchi wa Igalu tunaomba walipwe fidia na ujenzi uanze.